WAFUGAJI WATAKIWA KUYAONGEZEA THAMANI MAZIWA KUONGEZA KIPATO

Na Mwandishi Wetu, Dodoma  CHUO Cha Ufundi Stadi (VETA) Singida kimewahimiza wafugaji wa ng’ombe nchini kuongeza thamani ya maziwa wanayozalisha kwa kuyachakata na kutengeneza bidhaa mbalimbali badala ya kuyauza yakiwa mabichi, hatua ambayo itawaongezea kipato na kuinua thamani ya bidhaa zao. Akizungumza katika banda la Mamlaka  ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) katika Maonesho…

Read Full News

e-GA: MIFUMO YA KIDIGITALI YA KILIMO  INAONGEZA UWAZI 

Na Aziza Masoud,Dodoma SERIKALI kupitia Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA)  inaendelea kushirikiana na Wizara ya Kilimo katika kuimarisha matumizi ya mifumo ya kidijitali inayorahisisha utoaji wa huduma, kuongeza uwazi na kuboresha usimamizi wa shughuli za kilimo nchini. Akizungumza katika Maonesho ya Wakulima  ya Kitaifa yanayoendelea jijini Dodoma, Meneja wa Mawasiliano e -GA  Subira Kaswaga alisema…

Read Full News

NIC:BIMA YA MAJALIWA NJIA SAHIHI YAKUTIMIZA MALENGO YA KIFEDHA

Na Mwandishi Wetu,DodomaWANANCHI wametakiwa kutumia Bima ya Maisha ya Majaliwa kama njia ya kujiwekea akiba na kutimiza malengo ya kifedha ya muda mrefu, huku wakihakikishiwa ulinzi wa familia zao endapo watapata matatizo kabla ya kufikia malengo hayo. Wito huo umetolewa na Afisa Bima wa NIC Insurance, Thecla Mtege, alipokuwa akizungumza na wananchi waliotembelea banda la…

Read Full News