PDPC YAANZA UKAGUZI MKALI WA ULINZI WA TAARIFA BINAFSI NCHINI

Na Asha Mwakyonde, DODOMA TAARIFA binafsi za wananchi zinazoendelea kukusanywa na kuchakatwa na taasisi, mashirika pamoja na wafanyabiashara nchini sasa zitawekwa chini ya uangalizi zaidi, baada ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC),kuanza ukaguzi wa uzingatiaji wa sheria katika maeneo mbalimbali. Akizungumza na waandishi wa habari leo Agosti 28, 2026 jijini Dodoma Mkurugenzi Mkuu…

Read Full News