SERIKALI YAPITIA SHERIA KUONDOA VIKWAZO VYA UWEKEZAJI UCHUMI WA BULUU

Na Aziza Masoud, Dar es Salaam WIZARA ya Katiba na Sheria imesema inaendelea kupitia sheria mbalimbali zinazoweza kuwa kikwazo kwa uwekezaji na matumizi ya rasilimali za uchumi wa buluu, katika juhudi za kuweka mazingira wezeshi kwa sekta binafsi kushiriki zaidi katika kukuza uchumi wa nchi. Hatua hiyo inalenga kuhakikisha sheria na kanuni zinazohusu matumizi ya…

Read Full News

SERIKALI YASISITIZA SAYANSI,TAFITI KUWA KICHOCHEO CHA UCHUMI WA BULUU

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam SERIKALI imesisitiza umuhimu wa kuimarisha sayansi, tafiti na matumizi ya teknolojia katika kuchochea ukuaji wa uchumi wa buluu, ikisema Tanzania ina rasilimali nyingi za bahari, maziwa, mito na maeneo ya pwani ambazo bado hazijatumika kikamilifu. Hayo yameelezwa katika Kongamano la Tano la Kimataifa la Sayansi na Uchumi wa Buluu, lililoandaliwa…

Read Full News