TANESCO KUONGEZA UWEZO WA UPATIKANAJI WA UMEME KATAVI DISEMBA 1,2026-MD TWANGE
📌Aeleza Mpanda itakuwa na jumla ya megawati 80 na kukidhi mahitaji ya juu ya Megawati 60 ya sasa 📌Asema Wananchi kunufaika na umeme wa uhakika na kuchochea shughuli za uzalishaji Na Mwandishi Wetu,Katavi WANANCHI wa Mpanda, Mkoani Katavi, wanatarajia kunufaika na upatikanaji wa umeme wa uhakika kufuatia mpango wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kufunga…

