TAEC:TANZANIA YAWEKA MSINGI WA MFUMO WA KISHERIA KABLA YA UMEME WA NYUKLIA
Na Aziza Masoud,Dar es Salaam Serikali imeanza kuweka msingi wa mfumo wa kisheria na kitaasisi utakaosimamia utekelezaji wa mpango wa kuzalisha umeme wa nyuklia nchini, ikiwa ni hatua muhimu ya kuhakikisha teknolojia hiyo inatekelezwa kwa kuzingatia viwango vya usalama wa kimataifa. Akizungumza leo Juni 5, 2026 Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania…

