Dk.Andilile:Watumiaji wa gesi kwenye magari wafikia 5,000

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma  za Nishati na Maji  (EWURA) imesema matumizi ta gesi asilia kwenye magari yameendelea kuongezeka ambapo mpaka sasa takribani magari 5,000 yamefungwa mfumo huo. Akizungumza katika  banda la  Ewura lililopo katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa  maarufu kama Sabasaba yanayofanyika katika viwanja vya Mwalimu Nyerere Mkurugenzi Mkuu wa Ewura  Dk.James…

Read More

Vituo vyakujaza gesi kwenye magari  zaidi ya 30 kujengwa Dar e s Salaam

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam  SERIKALI imesema inatarajia kuongeza vituo vya kujaza gesi asilia kwenye magari kutoka viwili  hadi vituo zaidi ya  30 vilivyopo mkoani Dar es Salaam ifikapo  mwaka 2025 ili kuwawezesha wananchi kupata huduma hiyo kwa uraisi. Akizungumza leo Julai 9 katika banda la Shirika la Maendeleo Petroli Tanzania(TPDC)  alipotembelea katika Maonesho ya…

Read More

Vijana 150 wapatiwa elimu ya uzalishaji wa mbogamboga kutoka shirika la SAIPRO Same

Na Mwandishi Wetu Vijana 150 Kutoka katika Kata 12 wilayani Same Mkoani Kilimanjaro wamepatiwa elimu ya uzalishaji wa mboga mboga lengo likiwa ni kujikwamua kiuchumi Kutoka shirika lisilokuwa la kiserikali la Saipro. Hayo yamebainishwa na mwenyekiti wa shirika hilo la Saipro Mwadhini Myanza wakati akizungumza kwenye maonyesho ya mbegu mbalimbali za mboga mboga kupitia mradi…

Read More

WAZIRI KAIRUKI AIPONGEZA TAWA KWA USIMAMIZI  MZURI WA RASILIMALI ZA WANYAMAPORI

Na Joyce Ndunguru,Dar es Salaam Waziri wa Maliasili na Utalii Angellah Kairuki ameipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) kwa usimamizi mzuri wa rasilimali za wanyamapori. Kairuki ametoa pongezi hizo  jana  Julai 8, 2024 wakati wa ziara yake ya kikazi aliyoifanya katika ofisi za Makao Makuu ya TAWA yaliyopo Mkoani Morogoro kwa lengo la kusikiliza changamoto…

Read More

Wafanyabiashara watakiwa kujitokeza Sabasaba kuona teknolojia za mataifa ya nje

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam WAFANYABIASHARA wametakiwa kutembelea katika viwanja vya  maonesho ya 48 ya biashara ya Kimataifa ili  kuweza   kuona teknolojia mbalimbali zikiwemo za kilimo na madini ambazo zitawasaidia kukuza  biashara zao. Akizungumza katika tamasha  la siku maalum ya Iran ikiwa ni muendelezo was nchi mbalimbali kujitangaza katika viwanja vya Sabasaba ,Mkurugenzi Mtendaji Tanzania Chember Of Commerce Industry and…

Read More