ELIMU YA VIPIMO YAWAVUTIA WANANCHI, WAAHIDI KUWA MABALOZI WA KUJITOLEA
Na Mwandishi Wetu,Dodoma “Sasa najua ni nini ninapaswa kuangalia ninapojaza mafuta, kununua sukari au hata ninaponunua gesi ya kupikia.” Ni kauli ya Bw. Bilson Vedastus, mmoja wa wananchi waliotembelea banda la Wakala wa Vipimo (WMA) katika Maonesho ya Kitaifa ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea Viwanja vya Chinangali Park, Dodoma. Banda hilo limekuwa kitovu…

