BRELA YAIBUA FURSA MPYA ULINZI WA ALAMA ZA BIASHARA KWA WAJASIRIAMALI
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) imewataka wajasiriamali wanaoshiriki Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba) kutumia fursa ya uwepo wa BRELA kwenye maonesho hayo kwa kupata huduma za sajili na leseni ili kujiendesha kwa mujibu wa sheria na kuepuka changamoto za kisheria….

