ASILIMIA 80 YA WANANCHI KUTUMIA NISHATI SAFI YA KUPIKIA IFIKAPO 2034

Na Mwandishi Wetu,Katavi MKURUGENZi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe, Shamimu Mwariko amesema kutokana na jitihada zinazoendelea kuchukuliwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) katika kutekeleza Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia (2024-2034) ni dhahiri kwamba lengo la 80% ya wananchi kutumia nishati hiyo litafikiwa ifikapo Mwaka 2034. Amesema hayo…

Read Full News

SERIKALI  YAIPA KONGOLE ORYX UHAMASISHAJI MATUMIZI NISHATI SAFI

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam WIZARA ya Nishati imewapongeza wadau wakiwemo Oryx Gas kwa kushiriki kikamilifu katika kufanikisha  mkakati wa  kuhakikisha wananchi wote wanatumia nishati safi ya kupikia na kuachana na matumizi ya kuni na mkaa ambayo yamekuwa na madhara ya kiafya na kimazingira. Hayo yameelezwa jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mkuu wa Nishati…

Read Full News

DKT. BITEKO AZINDUA PROGRAMU YA UGAWAJI MAJIKO YA UMEME KWA BEI YA RUZUKU KWA WAFANYAKAZI WA TANESCO

Na Mwandishi Wetu,Dodoma IMEELEZWA kuwa, matumizi ya nishati safi ya kupikia ni ajenda ya kitaifa inayolenga kuhamasisha wananchi kutumia nishati safi na salama ya kupikia ikiwemo nishati ya umeme. Aidha, takwimu za mwaka 2022 zinaonesha kuwa Watanzania wanaotumia nishati ya umeme kwa ajili ya kupikia ni asilimia 4.2 tu huku ikitajwa kuwa idadi hiyo ni…

Read Full News

TAWA YASAINI MIKATABA YA UWEKEZAJI MAHIRI YENYE THAMANI YA TZS BILIONI 719

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam KATIKA hatua ya kihistoria na kishindo kwa sekta ya utalii nchini, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), leo Agosti 12, 2025, imesaini mikataba minne ya uwekezaji wa utalii kupitia utaratibu wa Uwekezaji Mahiri (SWICA) na kampuni ya kitanzania ya Uhusiano International…

Read Full News

MKUTANO WA WAKUU WA TAASISI ZA UMMA KUCHOCHEA MAGEUZI NA USHINDANI

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam KATIKA kuendeleza juhudi za Serikali kuhakikisha taasisi za umma zinakuwa sehemu hai ya uchumi wa kisasa, Ofisi ya Msajili wa Hazina imeandaa kikao kazi maalum ‘CEO Forum 2025’ kitakachowaleta pamoja Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa mashirika ya umma nchini wapatao 700. Mkutano huo unaotarajiwa kufanyika Agosti 23-26 jijini…

Read Full News

CCM BUMBULI WALIA NA WAGOMBEA WALIOVUNJA TARATIBU ZA KAMPENI

Na Mwandishi Wetu,BumbuliWAKATI Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ikitarajiwa kutangaza rasmi majina ya wagombea ubunge na udiwani watakaokiwakilisha chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa 2025, baadhi ya watia nia wa Jimbo la Bumbuli wameeleza kutoridhishwa na mwenendo wa baadhi ya wenzao katika mchakato wa kampeni. Watia nia hao na wajumbe wamesema kuwa baada…

Read Full News