NIC:BIMA YA MAJALIWA NJIA SAHIHI YAKUTIMIZA MALENGO YA KIFEDHA
Na Mwandishi Wetu,DodomaWANANCHI wametakiwa kutumia Bima ya Maisha ya Majaliwa kama njia ya kujiwekea akiba na kutimiza malengo ya kifedha ya muda mrefu, huku wakihakikishiwa ulinzi wa familia zao endapo watapata matatizo kabla ya kufikia malengo hayo. Wito huo umetolewa na Afisa Bima wa NIC Insurance, Thecla Mtege, alipokuwa akizungumza na wananchi waliotembelea banda la…

