TCB YASISITIZA KUENDELEA KUWA MDAU MKUBWA WA MAENDELEO VISIWANI ZANZIBAR

Na Mwandishi Wetu,Zanzibar Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imeungana na wananchi wa Kiziimkazi Zanzibar kwenye siku ya utalii kusherehekea ufahari wa utamaduni wa Kitanzania, vivutio vya utalii, umoja na mshikamano katika tamasha la Kizimkazi linaloendelea kufanyika visiwani Zanzibar.  Benki hiyo imeendelea kusisitiza dhamira yake ya kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar katika vipaumbele vyake katika…

Read More

KIKEKE:TAWA WAMEONGEZA HADHI YA TAMASHA LA KIZIMKAZI

Na Mwandishi Wetu,Zanzibar Mtangazaji nguli, na mwandishi wa habari mashuhuri Africa Mashariki na Kati aliyekuwa akitangaza kipindi cha Dira ya Dunia katika Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) ambaye kwasasa anafanya kazi  na Redio/TV ya Crown  FM/TV iliyopo nchini, Salim Kikeke amesema uwepo wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori nchini (TAWA) katika Tamasha la Kizimkazi umeleta chachu…

Read More

MAVUNDE: MKUTANO WA KIMATAIFA WA UWEKEZAJI  SEKTA YA MADINI UTAWAVUTA WAWEKEZAJI DUNIANI KOTE

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam WAZIRI  wa Madini, Anthony Mavunde, amebainisha kuwa Tanzania iko tayari kuvutia Wawekezaji kutoka mataifa mbalimbali kupitia Mkutano wa 5 wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini, unaotarajiwa kufanyika jijini Dar es Salaam kuanzia Novemba  19 hadi 21 Novemba mwaka 2024.  Amebainisha hayo leo Agosti 21, 2024, jijini  Dar es Salaam wakati akizungumza…

Read More

MKUU WA MKOA WA LINDI AWATAKA DMI KUENDELEZA  ENEO WALILOPEWA

Na Mwandishi Wetu,Lindi MKUU wa Mkoa wa Lindi Zainab Telack ameutaka uongozi wa Chuo Cha Bahari Dar es Salaam (DMI) kuhakikisha wanaendeleza eneo walilopewa na mkoa huo kwa kujenga tawi la chuo hicho.  Taleck amaesema hayo  ofisini kwake wakati akiongea  na uongozi wa Chuo cha Bahari Dar es Salaam(DMI)  walipofika ofisini kwake kwa lengo la kuelezea  mpango wa kutoa…

Read More

WAKILI MBEDULE APIGA ‘JEKI’ VIFAA VYA MICHEZO HALMASHAURI YA IRINGA

Mwandishi Wetu,IRINGA      HALMASHAURI ya Wilaya ya Iringa imepata msaada wa vifaa vya michezo kutoka kwa Wakili wa kujitegemea na mdau wa maendeleo, Jimbo la Kalenga, Sosten Mbedule ambaye ametoa seti sita za vifaa vya michezo na mipira minne. Wakili Mbedule ametoa msaada huo  baada ya ombi lililowasilishwa na Halmashauri hiyo kwa wadau mbalimbali ili kuwezesha…

Read More

VIJIJI  VITANO VYALIPWA BILIONI  2 ZA MRABAHA KUTOKANA NA UZALISHAJI WA DHAHABU NYAMONGO

Nyamongo – Tarime Waziri wa Madini,Anthony Mavunde ataka fedha  zinazotolewa kama sehemu ya gawio la mrabaha kutoka katika mgodi zitumike katika miradi iliyoibuliwa na wananchi katika sehemu husika kwa ajili ya kuendeleza mipango ya maendeleo kwa wananchi . Hayo yamebainishwa leo Agosti 20, 2024 na Waziri wa Madini Anthony Mavunde wilayani Tarime  mkoani Mara wakati wa  hafla fupi…

Read More

TCB YAAHIDI KUENDELEA KUISADIA SERIKALI KUWEZESHA WAKULIMA WADOGO,WAKATI KUPATA MIKOPO

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam  BENKI ya Biashara ya Tanzania (TCB) imesema itaendelea kuunga mkono juhudi za serikali ya Awamu ya Sita chini ya Dkt. Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kuhakikisha inawawezesha wakulima wadogo na wa kati kupata mikopo itakayowawezesha kuzalisha kwa tija mazao yao lakini pia kuyaongezea thamani yaweze kuuzwa ndani na nje ya nchi….

Read More