WIZARA YA NISHATI YAENDELEA KUTUMIA NISHATI SAFI EXPO KUTOA ELIMU KWA WANANCHI

Na Mwamdishi Wetu,Dar es Salaam Wizara ya Nishati inaendelea kutoa elimu ya nishati safi ya kupikia kwa wananchi mbalimbali wanaoshiriki Kongamano la Nishati Safi Expo 2026 linaloendelea jijini Dar es Salaam hatua inayolenga kuimarisha afya za wananchi, kuhifadhi mazingira na kuboresha ustawi wa jamii. Wananchi hao wanaelimishwa kuhusu aina mbalimbali za nishati safi ya kupikia…

Read More

TEMESA YAADHIMISHA MIAKA 20 KWA KUJIPANGA KUONGEZA MAPATO NA TIJA

Na Asha Mwakyonde, DODOMA WAKALA wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA), umeadhimisha miaka 20 tangu kuanzishwa kwake kwa kueleza mafanikio makubwa yaliyopatikana katika utoaji wa huduma za ufundi, usimamizi wa mitambo na maboresho ya miundombinu ya umeme, huku ukiahidi kuendelea kuimarisha ufanisi na kuongeza mchango wake katika maendeleo ya Taifa. Akizungumza katika hafla ya maadhimisho…

Read More

TANESCO:WANANCHI MSIHOFU KUTUMIA NISHATI YA UMEME KATIKA VYOMBO VYA USAFIRI

MD Twange asema TANESCO inajenga vituo vya kuchajia vyombo hivyo nchi nzima Aeleza mpango wa kusambaza majiko sanifu ya umeme takribani Mil 1 Awapongeza Wafanyakazi kwa ubunifu na jitihada za kuwahudumia wateja kwa ufanisi. Na Mwandishi Wetu,Dodoma Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Bw. Lazaro Twange, amewaondoa hofu wananchi kuhusu matumizi ya nishati…

Read More

WANANCHI MSIHOFU KUTUMIA NISHATI YA UMEME KATIKA VYOMBO VYA USAFIRI -MD TWANGE

Na Mwandishi Wetu,Dodoma Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Bw. Lazaro Twange, amewaondoa hofu wananchi kuhusu matumizi ya nishati ya umeme katika vyombo vya usafiri, akisema kuwa TANESCO imejipanga kujenga vituo vya kuchajia vyombo hivyo nchi nzima. Mkurugenzi huyo amesema hayo Juni 19, 2026, alipotembelea banda la TANESCO katika Maonesho ya Wiki ya…

Read More

MD TWANGE AIPONGEZA WIZARA Ya NISHATI KWAKUENDELEA KUBORESHA HUDUMA KWA WANANCHI

Na Mwandishi Wetu,Dodoma Mkurugenzi wa Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Bw. Lazaro Twange, ameipongeza Wizara ya Nishati kwa juhudi zake za kuendelea kuboresha huduma kwa wananchi na kuhakikisha upatikanaji wa huduma za nishati unakuwa wa uhakika katika maeneo mbalimbali nchini. Bw. Twange ametoa pongezi hizo Juni 19, 2026 katika viwanja vya Chinangali, jijini…

Read More