TRA YAHIMIZA BIASHARA HALALI YA MADINI NA KUPONGEZA ULIPAJI KODI KWA HIARI

Na Mwandishi Wetu,Shinyanga UONGOZI wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) umeadhimisha wiki ya huduma kwa wateja na wafanyabiashara mbalimbali wakiwemo wa Madini wanaoendesha shughuli zao katika soko la Madini la wilayani Kahama mkoani Shinyanga na kuwapongeza kwa kuendelea kulipa kodi kwa hiari. Akizungumza katika maadimisho hayo wilayani Kahama Oktoba 09.2015 Kamishna Mkuu wa TRA Bw….

Read Full News

SEKTA TANO ZAKUTANA KUJADILI ‘BWAWA LA KIDUNDA’

Na Mwandishi Wetu,Morogoro VIONGOZI kutoka Wizara tano mtambuka wamekutana mkoani Morogoro kujadili njia za pamoja katika utekelezaji wa mradi wa bwawa la Maji Kidunda ili kuhakikisha mradi unakamilika kwa wakati. Akiongoza kikao kazi hicho Katibu Mkuu Wizara ya maji, Mhandisi Mwajuma Waziri amesisitiza ushirikiano wa ki sekta katika utekelezaji wa mradi wa bwawa la Kidunda…

Read Full News