TANZANIA, UJERUMANI WASAINI MKATABA WA BILIONI 60.7 KUBORESHA HUDUMA YA MAJI MKOANI SONGWE
Na Benny Mwaipaja, Dodoma Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesaini mkataba wa msaada wa Euro milioni 20 sawa na shilingi za Tanzania bilioni 60.7 kutoka Serikali ya Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani kupitia Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KfW) kwa ajili ya kufadhili mradi wa Uboreshaji wa Huduma za Usambazaji Maji na Usafi…

