BILIONI 51 ZATUMIKA KUBORESHA UWANJA WA NDEGE KIGOMA – PROF. MBARAWA
Na Mwandishi Wetu Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, amesema Serikali imetumia shilingi bilioni 51 kuboresha Kiwanja cha Ndege cha Kigoma, huku utekelezaji wa mradi huo ukiwa umefikia asilimia 67 na unatarajiwa kukamilika ifikapo Oktoba au Novemba 2026 Akizungumza baada ya kukagua maendeleo ya mradi huo mkoani Kigoma, leo tarehe 25 Juni, 2026 Prof. Mbarawa…

