Balozi Omar kuiwakilisha Tanzania mkutano wa African Caucas
Na Benny Mwaipaja, Banjul, Gambia Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amewasili Banjul nchini Gambia kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa African Caucus wa 2026, utakaofanyika kuanzia jumatatu tarehe 6 Julai, 2026,unatarajiwa kuwa tukio muhimu litakalowakutanisha viongozi wa Afrika, watunga sera, wataalamu wa fedha, washirika wa maendeleo, na wawakilishi wa taasisi za…

