TANZANIA YASISITIZA UMUHIMU WA USHIRIKIANO WA KIKANDA KATIKA NISHATI YA NYUKLIA

Na Mwandishi Wetu,Kigali Katibu Mkuu Wizara ya Nishati anayeshughulikia Umeme na Nishati Jadidifu, Mha. Felchesmi Mramba amesema ushirikiano wa kikanda ni muhimu katika kuharakisha matumizi ya nishati ya nyuklia kwa ajili ya kuhakikisha upatikanaji wa nishati salama, ya uhakika na yenye kuchochea maendeleo ya uchumi Afrika. Mha. Mramba ameyasema hayo leo Mei 20, 2026 alipomwakilisha…

Read More

MRADI WA NJIA YA KUSAFIRISHA UMEME CHALINZE–DODOMA KUKAMILIKA AGOSTI 2026 : MD TWANGE

📌Utekelezaji wa Mradi wafikia asilimia 82.5 📌Shilingi bilioni 514 kutumika ajili utekelezaji wa mradi 📌 Amtaka Mkandarasi kuongeza kasi mradi huo wa kimkakati ukamilike kwa wakati Na Mwandishi Wetu,Dodoma Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Bw. Lazaro Twange, amesema mradi wa njia ya kusafirisha umeme wa msongo wa kilovolti 400 kutoka Chalinze hadi Zuzu, Dodoma, unatarajiwa kukamilika…

Read More

TAFICO KUNUFAIKA NA MIRADI MIKUBWA YA KIMKAKATI, SERIKALI KUPANUA UCHUMI WA BULUU

Na Asha Mwakyonde, DODOMA SERIKALI imeendelea kufungua ukurasa mpya katika sekta ya uvuvi nchini baada ya kuongeza nguvu katika uvuvi wa bahari kuu kupitia uwekezaji mkubwa wa miundombinu, ununuzi wa meli za kisasa pamoja na kuimarisha Shirika la Uvuvi Tanzania (TAFICO), hatua inayotarajiwa kuongeza ajira, mapato ya taifa na kunufaisha uchumi wa buluu. Hayo ameyasema…

Read More