KINGOBA:HAKUNA HABARI YENYE THAMANI KULIKO MAISHA YA MWANDISHI
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam WAANDISHI wa Habari nchini wametakiwa kujiandaa kuripoti majanga yanayoweza kujitokeza katika msimu wa mvua za Vuli, huku wakitanguliza usalama wao, kutoa taarifa sahihi na kuwaelekeza wananchi hatua za kujikinga. Wito huo umetolewa wakati Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) ikitabiri kuwa msimu wa mvua za Vuli wa Oktoba…

