WAZIRI NDEJEMBI ATOA ONYO KWA MKANDARASI ANAYETEKELEZA MRADI WA SONGEA–TUNDURU–MASASI

📌 Asema ucheleweshaji wa mradi hauendani na matarajio ya Serikali na wananchi. 📌 Amuagiza mkandarasi kuongeza kasi ya utekelezaji na kuzingatia masharti ya mkataba. 📌 Aelekeza hatua stahiki kuchukuliwa iwapo maendeleo ya mradi hayataboreshwa kabla ya Septemba 30, 2026. 📌 Mradi wa kV 220 utaiunganisha Mikoa ya Lindi na Mtwara kwenye Gridi ya Taifa na…

Read Full News

TANESCO YABAINI HUDUMA YA UMEME NI YA UHAKIKA KATIKA JENGO LA KITUO CHA MABASI MWENGE

📌 Ukaguzi wa miundombinu wabaini hakuna changamoto ya kukatika kwa umeme mara kwa mara 📌 Wafanyabiashara waipongeza TANESCO kwa utatuzi wa haraka wa hitilafu Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limebaini kuwa huduma ya umeme katika Jengo la Kituo cha Mabasi cha Mwenge inaendelea kuwa ya uhakika baada ya kufanya…

Read Full News

WAZIRI WA FEDHA AIPONGEZA TPA KWA KUONGEZA UFANISI WA BANDARI YA TANGA

Na. Joseph Mahumi na Peter Haule, WF, Tanga Waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), ameipongeza Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kwa kuongeza ufanisi wa Bandari ya Tanga kufuatia uwekezaji mkubwa uliofanywa na Serikali katika kuboresha miundombinu ya bandari hiyo, hatua ambayo imeiwezesha kupokea meli kubwa za…

Read Full News

TOTALENERGIES YAFUNGUA KITUO CHA 125 TANZANIA, YAIMARISHA UWEKEZAJI KIBAHA

Na Mwandishi Wetu,Pwani KAMPUNI ya TotalEnergies Marketing Tanzania imeendelea kuimarisha uwekezaji wake nchini baada ya kuzindua kituo chake cha 125 cha mafuta kilichopo Kibaha mkoani Pwani, hatua inayolenga kusogeza huduma za nishati karibu na wananchi, kuongeza ajira na kuchochea ukuaji wa uchumi. Uzinduzi huo unaashiria dhamira ya kampuni hiyo ya kuendelea kuwekeza katika miundombinu ya…

Read Full News