WAMILIKI WA VYOMBO VYA MOTO WAHIMIZWA KUKATA BIMA 

Na Aziza Masous,Dar es Salaam KAMPUNI  ya NIC Insurance imewahimiza wamiliki wa vyombo vya moto nchini kuhakikisha wanakata bima ili kujikinga na athari ambazo zitawasababishia hasara zinazoweza kujitokeza pindi yanapotokea majanga au ajali. Akizungumza katika Maonesho ya 50 ya Biashara Dar es Salaam  Sabasaba,Afisa Bima wa NIC Insurance, Iman  Mollel  bima katika vyombo vya moto…

Read Full News

WANANCHI WAFURIKA SABASABA KUSHUHUDIA MAONESHO YA BIASHARA

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam WANANCHI wamejitokeza kwa wingi katika Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam leo Julao 7, 2026 kushiriki na kutembelea Maonesho ya Kimataifa ya Biashara yanayoendelea kuvutia washiriki kutoka ndani na nje ya nchi.Tangu asubuhi, viwanja hivyo vilishuhudia msongamano mkubwa wa wageni waliokuwa wakitembelea mabanda mbalimbali ya taasisi za umma, kampuni…

Read Full News

Waziri wa Fedha aongoza ujumbe wa Tanzania ufunguzi Mkutano wa African Caucus Gambia 

Na Benny Mwaipaja, Banjul, Gambia Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), ameongoza ujumbe wa Tanzania katika ufunguzi wa Mkutano wa African Caucus wa Mwaka 2026, jijini Banjul nchini Gambia, uliofungiliwa na Rais wa nchi hiyo Mhe. Adama Barrow, ambapo msisitizo mkubwa umewekwa katika Bara la Afrika kuongeza uwezo wake wa kujitegemea kwa…

Read Full News

WANANCHI WAHAMASISHWA KUTUMIA UMEME KATIKA VYOMBO VYA USAFIRI ILI KUPUNGUZA GHARAMA ZA USAFIRI

📌 TANESCO yaeleza matumizi ya umeme katika magari, bajaji na pikipiki 📌 Pikipiki ya umeme hutumia uniti 3 pekee kusafiri hadi kilometa 130 Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Wananchi wamehimizwa kutumia umeme katika vyombo vya usafiri ili kupunguza gharama za uendeshaji na kuchangia matumizi ya nishati safi na yenye ufanisi. Akizungumza Julai 5, 2026…

Read Full News

Balozi Omar kuiwakilisha Tanzania mkutano wa African Caucas

Na Benny Mwaipaja, Banjul, Gambia Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amewasili Banjul nchini Gambia kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa African Caucus wa 2026, utakaofanyika kuanzia jumatatu tarehe 6 Julai, 2026,unatarajiwa kuwa tukio muhimu litakalowakutanisha viongozi wa Afrika, watunga sera, wataalamu wa fedha, washirika wa maendeleo, na wawakilishi wa taasisi za…

Read Full News

TTB YAMKABIDHI KHALID AL BARWANI UBALOZI WA HIARI WA UTALII KUITANGAZA TANZANIA DUNIANI

Na Mwamdishi Wetu,Dar es Salaam Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imemkabidhi rasmi mwanautalii na mtangazaji wa vivutio vya utalii kutoka Oman, Khalid Hamed Al Barwani, Ubalozi wa Hiari wa Utalii wa Tanzania, ikiwa ni hatua ya kimkakati ya kuimarisha juhudi za kuitangaza Tanzania katika masoko ya kimataifa na kuongeza idadi ya watalii wanaotembelea nchini. Ubalozi…

Read Full News

TAEC:TANZANIA YAWEKA MSINGI WA MFUMO WA KISHERIA KABLA YA UMEME WA NYUKLIA

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam Serikali imeanza kuweka msingi wa mfumo wa kisheria na kitaasisi utakaosimamia utekelezaji wa mpango wa kuzalisha umeme wa nyuklia nchini, ikiwa ni hatua muhimu ya kuhakikisha teknolojia hiyo inatekelezwa kwa kuzingatia viwango vya usalama wa kimataifa. Akizungumza leo Juni 5, 2026 Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania…

Read Full News

TPDC YAPANUA MATUMIZI YA GESI ASILIA MAJUMBANI

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam SHIRIKA la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC)  amesema  imejipanga kuongeza idadi ya nyumba  zitakazounganishwa  na huduma ya gesi asilia  kwa ajili ya kupikia majumbani ambapo wanatarajia kuunganisha nyumba zaidi ya 1000. Akizungumza katika Maonesho ya Biashara ya 50 yanayofanyika  katika Viwanja vya Maonesho ya Biashara ya Dar es Salaam (DTIF)…

Read Full News