TANESCO YAJA NA NYUMBA JANJA KWA LENGO LA KUPUNGUZA HATARI YANAPOTOKEA MAJANGA
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) wamezindua Nyumba Janja yenye mfumo wa kisasa wa unaosaidia kuongeza usalama wa nyumba kwa kupunguza hatari za majanga kama moto na ajali nyingine zinazosababishwa na hitilafu za umeme pindi zinapojitokeza. Nyumba hiyo janja ambayo ni kivutio kikubwa katika Maonesho Maonesho ya 50 ya Biashara ya…

