WANANCHI WAENDELEA KUNUFAIKA NA OFA ZA TTCL SABASABA 2026
Na Mwandishi Wetu,Dar es SalaqmMaafisa wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) wanaendelea kuwahudumia wananchi wanaotembelea Banda la TTCL katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba 2026), kwa kuwapatia elimu kuhusu huduma na suluhisho mbalimbali za mawasiliano na teknolojia za kidijitali zinazotolewa na TTCL. Katika banda hilo, wananchi wanapata fursa…

