WIZARA YA NISHATI YAWAHAMASISHA WATOTO KUWA MABALOZI WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
Na Mwandishi Wetu,Dodoma Watoto wameaswa kuwa mabalozi wa matumizi ya nishati safi ya kupikia ili kuunga mkono juhudi za Serikali za kulinda mazingira, kupunguza athari za kiafya zitokanazo na matumizi ya nishati zisizo safi na kufanikisha lengo la Taifa la kuhakikisha asilimia 80 ya Watanzania wanatumia nishati safi ya kupikia ifikapo mwaka 2034. Wito huo…

