MFUMO WA SCADA WAIMARISHA UDHIBITI WA MAFUTA NCHINI

Na Mwandishi Wetu, Dodoma Mfumo wa Supervisory Control and Data Acquisition (SCADA) yameimarisha udhibiti wa upotevu wa mafuta wakati wa shughuli za ushushaji kutoka melini kwenda kwenye maghala ya kuhifadhia. Akizungumza katika Maonesho ya Nanenane yanayoendelea jijini Dodoma, Mhandisi wa PBPA, Bi. Elvira Muganga, alisema mfumo huo unaiwezesha Serikali kufuatilia kwa wakati halisi kiwango cha…

Read Full News

T-PESA YAHAMASISHA VYAMA VYA USHIRIKA KUTUMIA MIFUMO WA MALIPO KWA MKUPUO KUWALIPA WAKULIMA

Na Mwandishi Wetu,Dodoma SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kupitia kampuni ya T-Pesa imezitaka kampuni, taasisi na vyama vya ushirika kutumia Mfumo wa Malipo kwa Mkupuo (Bulk Payment) ili kurahisisha malipo kwa wakulima na wanufaika wengine, huku ikipunguza matumizi ya fedha taslimu. Akizungumza katika Maonesho ya Wakulima Nanenane yanayoendelea kitaifa mkoani Dodoma, Afisa Mauzo kutoka Kitengo…

Read Full News

VIJANA WAHAMASISHWA KUTUMIA FURSA ZA MADINI KUJIKWAMUA KIUCHUMI

Na Mwandishi Wetu,Dodoma Vijana nchini wamehimizwa kutumia nguvu kazi, maarifa na ubunifu wao kuchangamkia fursa zinazotolewa na Sekta ya Madini badala ya kusubiri misaada au mitaji kutoka serikalini, huku wakitakiwa kuanza na rasilimali walizonazo ili kujenga mafanikio ya kiuchumi. Wito huo umetolewa kwenye Maonesho ya Nane Nane yanayoendelea Kitaifa jijini Dodoma na Mkurugenzi wa Xinda…

Read Full News

TTCL: UHIFADHI WA TAARIFA NDANI YA NCHI UIMARISHA USALAMA KIDIGITALI

Na Mwandishi Wetu, Dodoma SHIRIKA  la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limesema kuhifadhi taarifa na mifumo ya taasisi ndani ya nchi kupitia Kituo cha Taifa cha Kuhifadhi Taarifa Kidijitali (National Internet Data Centre – NIDC) ni hatua muhimu ya kuimarisha usalama wa taarifa na kulinda uhuru wa kidijitali wa Tanzania. Akizungumza katika Maonesho ya Nanenane yanayoendelea jijini…

Read Full News

TTB YAMPOKEA MR.ALAYA ANAYEWANI REKODI YA GUINNESS DUNIANI

Na Mwandishi Wetu,Rukwa WIZARA ya Maliasili na Utalii kupitia Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), imempokea rasmi nchini mhamasishaji amani duniani, Saddam Suleiman Ali Alaya (Mr. Alaya), anayetekeleza safari ya kihistoria ya The World’s Longest Peace Walk, inayolenga kuweka rekodi ya Guinness World Records kupitia matembezi marefu zaidi ya kuhamasisha amani na mshikamano wa kimataifa. Mr….

Read Full News

NISHATI NI CHACHU YA KILIMO, UCHUMI NA MAENDELEO YA VIJIJINI – MHA. SAIDY

NISHATI NI CHACHU YA KILIMO, UCHUMI NA MAENDELEO YA VIJIJINI – MHA. SAIDY Na Mwandishi Wetu,Dodoma Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mha. Hassan Saidy, amewakaribisha wananchi na wadau kutoka sekta mbalimbali kutembelea Banda la REA katika Maonesho ya Nane Nane 2026 yanayoendelea katika Viwanja vya Nzuguni, jijini Dodoma, ili kujionea mafanikio ya…

Read Full News