RAIA WA NIGERIA MIAKA 28 JELA KWAKUSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MAHAKAMA Kuu ya Uhujumu Uchumi, Divisheni ya Makosa ya Rushwa, imemhukumu kifungo cha miaka 28 jela mshtakiwa David Kanayo Chukwu, raia wa Nigeria, ambaye ni mshtakiwa wa kwanza kati ya watatu, baada ya kukiri kosa la kushiriki katika kusafirisha kilogramu 268.50 za dawa za kulevya aina ya heroin. Akisoma hukumu…

