ZAIDI YA 95% YA WALIOHUSIKA NA UJENZI BWAWA LA MWALIMU NYERERE NI WATANZANIA- TWANGE
Na Mwandishi Wetu,Rufiji Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Lazaro Jacob Twange, amesema ujenzi wa Bwawa la Kuzalisha Umeme la Mwalimu Nyerere umewezesha Watanzania kupata ujuzi na uzoefu mkubwa katika utekelezaji wa miradi mikubwa, jambo litakalowaongezea uwezo wa kushindana katika soko la ajira ndani na nje ya nchi. Twange amesema hayo leo Jumamosi,…

