UWT KONDOA KUTOA MSAADA KWA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM KUELEKEA SIKU YA MWANAMKE DUNIANI

Na Asha Mwakyonde, DODOMA KATIKA kuelekea maadhimisho ya Siku ya Wanawake kitaifa Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT), wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Wilaya ya Kondoa Hadija Kilala, amesema jumuiya hiyo imejipanga kuadhimisha siku hiyo kwa vitendo kwa kutoa misaada kwa watoto wenye mahitaji maalum, ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono juhudi za Serikali…

Read Full News

KAMATI YA UONGOZI WA MRADI WA JNHPP YAKAGUA MAENDELEO YA BWAWA LA JULIUS NYERERE

KAMATI YA UONGOZI WA MRADI WA JNHPP YAKAGUA MAENDELEO YA BWAWA LA JULIUS NYERERE Na Mwandishi Wetu,Dodoma KAMATI ya Uongozi wa Mradi wa Bwawa la Julius Nyerere (JNHPP), tarehe 26 Februari 2026, imekagua maendeleo ya uzalishaji wa umeme katika bwawa la Julius Nyerere na kueleza kuridhishwa na usimamizi pamoja na utekelezaji wake, uliokidhi viwango vya…

Read Full News

NDEJEMBI AITAKA PURA KUWAJENGEA UWEZO WATANZANIA KUSHIRIKI MRADI WA LNG

Na Mwandishi Wetu, Morogoro Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratous Ndejembi, ameitaka Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) kuimarisha mipango yake katika ukusanyaji wa data sahihi, tathmini ya vitalu vya utafiti, na maandalizi ya Watanzania kushiriki kikamilifu katika miradi mikubwa ya kimkakati, ikiwemo mradi wa kuchakata gesi asilia kuwa kimiminika (LNG). Mhe. Ndejembi…

Read Full News

DKT. MATARAGIO: PURA ONGEZENI KASI UTAFITI WA MAENEO MAPYA YA MAFUTA NA GESI

Na Mwandishi Wetu, Morogoro KATIBU Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia Mafuta na Gesi, Dkt. James Mataragio, ameielekeza Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) kuongeza kasi ya utafiti wa awali katika maeneo mapya ya mafuta na gesi asilia ili kuvutia wawekezaji na kuongeza mapato ya taifa. Akizungumza leo Februari 26, 2026, wakati…

Read Full News