WAKULIMA WAPEWA MBINU YA KUKABILIANA NA SUMUKUVU
Na Mwamdishi Wetu,Dodoma MKURUGENZI wa Huduma za Udhibiti wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA) , Daniel Ndiyo amewataka wananchi kuzitumia maabara za Mamlaka kuchunguza mazao ya kilimo ili kutambua usalama wake kabla ya matumizi. Mkurugenzi Ndiyo amesema hayo Agosti 7, 2026 wakati akizungumza na waandishi wa Habari waliotembelea Banda la Mamlaka…

