TEMESA YAADHIMISHA MIAKA 20 KWA KUJIPANGA KUONGEZA MAPATO NA TIJA
Na Asha Mwakyonde, DODOMA WAKALA wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA), umeadhimisha miaka 20 tangu kuanzishwa kwake kwa kueleza mafanikio makubwa yaliyopatikana katika utoaji wa huduma za ufundi, usimamizi wa mitambo na maboresho ya miundombinu ya umeme, huku ukiahidi kuendelea kuimarisha ufanisi na kuongeza mchango wake katika maendeleo ya Taifa. Akizungumza katika hafla ya maadhimisho…

