WAHARIRI WAIPONGEZA REA USAMBAZAJI WA GESI ASILIA LINDI,PWANI
Na Mwandishi Wetu,Pwani Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) wameipongeza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), kusambaza miundombinu ya gesi asilia kwenye kaya takribani 1000 na shule moja ambapo mradi huo umefadhiliwa na Serikali kwa asilimia 100 kupitia REA. Hayo yamezungumzwa Machi 8, 2026 na Mwenyekiti wa Jukwaa la…

