COASCO YASISITIZA UKAGUZI WA VYAMA VYA USHIRIKA USHIRIKA
Na Aziza Masoud, Dar es Salaam KAIMU Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (COASCO), CPA Jeremiah Mgeta, amesema taasisi hiyo imejipanga kuhakikisha vyama vyote vya ushirika nchini vinakaguliwa katika mwaka wa fedha 2026/27 ili kuimarisha uwajibikaji, uwazi na kuongeza imani ya wanachama. CPA Mgeta alitoa kauli hiyo alipotembelea banda…

